Bride :Sia Kombe
Color :Blue & Yeloow
Venue : Chichi Hotel Kinondoni
Entertainment: Kibao Kata
& Rusha Roho
alianza mama akiingia ukumbini na mshostito wake umewaona wa ukwee'e, mama ya mujini!!!!!
Sia akiingia ukumbini
alikata utepe kuashiria shughuli ndio imeanza na mimi ndio mwenyewe!!!!!
aliingizwa na shose na companion yake!!!
chezea Sia alicheza kwanza
Table Setting
Zawadi ya Sia toka kwa wanakamati
kila mtu aliondoka na kitana..!!
Wachoraji hina walikuwa ukumbini
Kibao Kata, ndio walitulainisha Nyonga si unawajua!!!!
Champignie & Cake
keki mfanowe kibao cha mbuzi, si unajua nazi inavyokunwa???
Bi Sia Kombe
Cheza & Rusha roho
MC Salma Dodo wamo anakwenda mpaka chini na sia
Mama na wenzake wakicheza, mmeona nguo zao hapana chezea hawa ni mujini
Sia akirusha roho..!!!
Chakula
Zawadi
Sia alimpa mama zake zawadi ya vitenge
Mama akitunzwa
Mashostito wakipeleka sanduku!!!!
Siah akijimwaga raha iliyoje
Sanduku lilisasambuliwa na Farida, matata huyu si unaona mambo yake!!!!
Shose, dada yake sia akitunzwa na mashosti wake
Kamati ikienda mkabidhi sia zawadi na pesa taslim 1,000,000/=
Siah akitoa shukran
Nyuso's
Wadau nimenenepa tena, so nimeanza coffee - 07/05/2012,
please follow me on Mashughuli Blog na uone nitakavyozikata kilos!!!!!, watch after two weeks!!!
please follow me on Mashughuli Blog na uone nitakavyozikata kilos!!!!!, watch after two weeks!!!
Red Carpet
Mama mzaa chema
Wamependezaje...!!
Mage, Bega moja
Pendeza eeh!!!
MOI-Salma Dodo MC nambari one & Director NY Production
Rehema msusi wa ukwee tokea enzi za cassandra
Shose umependezae na blue & red na hizo dimpoz
Khadija Rossela, hairdresser wa ukweee'e












Jaman huyo dada wa tano kutoka chini namjua tumepotezana nae mda mrefu kweli tangu chang'ombe sec, si ni Miriam Mcharo naomba anitafute kwa no. hii o713 173717
ReplyDeletemamaa wa mashughuli hii nimeikubali mwana
ReplyDeletemakeup imekaa mahala pake nadahni ulichukua ushauri wetu watu wapunguze makeup
wamependeza sanaaaaaa
big up
Hongera dada Sia Jamani,,uko juu mlipendezaje??
ReplyDeleteHongera sana mdogo wangu Sia umependeza sana na shughuli inaonekana kumeremeta. Hongera sana Shose kwa kuwa pamoja na dada yako.
ReplyDelete