Sameera nimekusoma unatisha!!!
Udi balaa tupu chezea watoto wa Mntambo hawana shughuli ndogo!!!
George akichia vituz!!!!
Aisha, bi harusi mtarajiwa
Ulipendezaje Aisha!!!
mwali alitunzwa baada ya kuonyesha kiuno cha kufundwa na somoye Mariam Mntambo
Mwali kafundwa kufundika, "MIZUNGU" umenisoma eeh!!!
Chakula
Si unajua ukifika upanga kwa Salma Mntambo basi msosi ni wa ukweli tulianza na vitafunwa hivi!!
Mara Mix moto moto!!!
TUNZA
Leo siku ya Amne eti anaona haya!!!
Aziza Songambele alimtunza wifiye!!!, chezea Aziza subiria picha za singo ya mwanaye Zainabu hapo Hunters Club ilikuwa balaa tupu! waalikwa wakimbia vinywaji...!!!
Wakafuata mashostito wa Sameera na mambo ya Dollari
Wera wera mdogo leo anatunzwa!!!! tena dollari chezea "SAMMY DIVA"
Walimwagaje mauno?? mnatisha watoto
umenisoma eeh!!!
Mariam K umo eeh!! sasa mie somo nitakufunda nini!!!
Kibao Kata
Jamani Rehema hawezekaniki unene si hoja eti mie mnene kiuno hakitoki wapi chini hapo nusu saa!!
Asha "K" wera wera somo mwingine huyu tena Tanga line hiyo!!!
Sharrifa Kavu somo wa ukweee mambo yake kimya kimya lakini makubwa, si mnakumbuka somo wa Khadija eeh!!! historia ya sanduku bado iko pale pale!!!
Nani zaidi!!!!
Tindwa je unatisha!!!!
Khadija sasambua mafundo yako ya somo wako Sharrifa Kavu
Tindwa, mama wa kutunza, Hamadi umechekeleaje pesa!!!
Nyuso
Bayi siku hizi wa ghaliiiii sana!!!
Hasina Tanga line hiyoooo!!!
Tindwa, Khadija & friend
Nyuso nga'ri nga'ri
mama mzazi wa bi harusi mtarajiwa!!
Sophia & Hajary!!!!
Vishuna eeh!!
Mariam, Sophy & Halima
Tahiya & Tanisa
Tindwa, Ummi & Sameera!!
Mariam, Aziza, Tindwa & friend
Viuno vilikuwa vya haja kila kona!
Halima Kamusi subiria mambo yako najua yatakuwa ya haja!!!!
Wanawari!!!!
Tahiya, Tanisa & Pamella waukweliii mnatisha!!!
Shumu, Tahiya & Mariam somo nambari 1
Tindwa & Aziza Songambele
Tanisa Mwaibula jicho hilooo!!
Cute Mariam-huyu ni make-up artist!!! mtumieni
Halima & shostito Mariam toka Muscat!!!
Hasina Wage & Abuu
Tindwa na somo yake Asha "K"
Zuhura & Bayi
SHANGAA!!!








nimekubali!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteChezea watoto wa Engine ya Jiji wewe utalala hoi, Khadija mwari wa Sharifa Kavu nimekukubali kweli ulifundwa mtoto wa kike..
ReplyDeleteHiyo shughuli yaonyesha ilikuwa balaa mana watu wanakata maunoa mbaya
ReplyDeleteNimezipenda saree,bff wangu Tahiya na Pamella mmetokajee,Shantell full kuwaka mzungu,mwaraabu wewe.
ReplyDelete